Nataka kununua nyumba. Nitaendeleaje
Nataka kukodisha nyumba yangu. Nahitaji hati zipi?
Nataka kukodisha ofisi. Nahitaji hati zipi?
Nataka kununua shamba. Nitaanza wapi?
Nataka kuuza shamba langu. Nitaendeleaje?
Jinsi ya kupata upya hati ya hatimiliki kama uliyo nayo hapo awali imepotea.
Nataka kununua gari/pikipiki. Nahitaji hati zipi?
Jinsi ya kufungua akaunti ya TIMS
Jinsi ya kupata upya kitabu cha kumbukumbu cha gari/pikipiki kama umepoteza
Nimepoteza kitambulisho changu. Nitachukua hatua zipi ili kupata kitambulisho kingine?
Nitachukua hatua gani ili kupata cheti cha kifo?
Jinsi ya kupata cheti cha ndoa
Jinsi ya kutengeneza wosia
Nitafanya nini ili kutekeleza wosia
Marehemu alifariki bila kuacha wosia. Kama familia tutagawanya mali yake vipi?
Jinsi ya kusajili biashara
Nataka kuongeza mkurugenzi katika kampuni
Jinsi ya kufunga kampuni
Nataka kukopa pesa kutoka kwa shirika/ kwa mtu binafsi. Nahitaji hati zipi?
Nataka kutumia mali yangu kudhamini mkopo. Nitahitaji hati zipi?