Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu uuzaji na ununuzi wa nyumba.
Why is the process needed: Faida ya mchakato huu ni kuwa, muuzaji wa nyumba atapata malipo kutoka kwa mnunuzi, naye mnunuzi wa nyumba atakuwa mmiliki aliyesajiliwa wa nyumba hiyo.
Risk/what happens if the process is not undertaken: If the process of the sale and purchase of a house is not finalized then the buyer will not obtain legal title to the house and the Vendor will not obtain the purchase price.
Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:
Hatua
Fanya Upekuzi wa nyumba katika Ofisi ya Serikali ya mashamba
Tengeneza hati ya makubaliano
Tengeneza hati ya kununua nyumba
Sajili hati ya vyeti katika ofisi ya serikali ya mashamba
Hati unazohitaji
Copy of the Title document in respect of the Property
nakala za kitambulisho na cheti cha kutoa ushuru cha muuzaji
nakala za kitambulisho na cheti cha kutoa ushuru cha mnunuzi
Muda
Siku Tisini
Gharama
Gharama ya Kulipia katika ofisi za Serikali:
Gharama ya Upekuzi - Shilingi Mia Tano
Gharama ya Ushuru kwa hati ya makubaliano ya uuzaji wa nyumba - Shilingi Mia Mbili na Arubaini
Gharama ya Ushuru kwa hati ya kununua nyumba inayohesabiwa kwa kiwango cha asilimia nne ya gharama ya nyumba
Cheti cha viwango - Shilingi Elfu Kumi
Cheti cha kodi - Shilingi Elfu moja
Gharama ya kuthamini shamba - Shilingi Elfu mbili
Gharama ya kusajili vyeti na hati - Shilingi Elfu mbili