Nataka kukodisha nyumba yangu. Nahitaji hati zipi?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kukodisha nyumba.
  • Why is the process needed: Unapokodisha nyumba, utapata makubaliano ya upangaji yatakayo thibitisha kuwa wewe ni mpangaji.

The benefit of the above process is that the Landlord will receive payments in respect to the Rent amounts and on the other hand, the Tenant will be secure having in place a Tenancy Agreement which defines each party’s roles and obligations.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of a tenancy Agreement, means that one cannot prove that they are indeed tenants in certain house and hence roles and obligations between the Landlord and Tenant become very obscure.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Pata hati zinazohitajika
  2. Tengeneza hati ya makubaliano ya kukodisha

Hati unazohitaji

  • nakala ya kitambulisho cha mwenye nyumba
  • Nakala ya kitambulisho cha mpangaji


Muda

Siku Tano

Gharama

Gharama ya Kulipia katika ofisi za Serikali:

  1. Gharama ya Ushuru kwa hati ya makubaliano ya kukodisha nyumba - Shilingi Mia Mbili na Arubaini

Disbursement fee: K.Shs.3,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org


Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.