Nataka kukodisha ofisi. Nahitaji hati zipi?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kukodisha ofisi.
  • Why is the process needed: Unapokodisha ofisi, mpangaji atapewa hati ya kukodisha na mwenye ofisi.

Hati hii ya kukodisha ndiyo itathibitisha kuwa wewe ndiye mpangaji wa ofisi hiyo.

Faida ya mchakato huu ni kuwa, mwenye ofisi atapata malipo kutoka kwa mpangaji, naye mpangaji wa ofisi atakuwa mmiliki aliyesajiliwa wa ofisi hiyo.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of the proper documentation to prove that you are indeed the Lessee has many legal repercussions as you not only do not have proof of ownership but you can also be denied exclusive possession to the premises where they is contention.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Fanya Upekuzi wa nyumba katika Ofisi ya Serikali ya mashamba
  2. Tengeneza hati ya makubaliano ya kukodisha
  3. Sajili hati hiyo ya makubaliano ya kukodisha katika Ofisi ya mashamba

Hati unazohitaji

  • Nakala ya hati kuu ya hatimiliki ya Ofisi
  • nakala za kitambulisho na cheti cha kutoa ushuru cha mwenye ofisi
  • nakala za kitambulisho na cheti cha kutoa ushuru cha mpangaji


Muda

Siku Tisini

Gharama

Gharama ya Kulipia katika ofisi za Serikali:

  1. Gharama ya Upekuzi - Shilingi Mia Tano
  2. Gharama ya Ushuru kwa hati ya kukodisha ofisi inayohesabiwa kwa kiwango cha asilimia nne ya gharama ya ofisi

Disbursement fee: K.Shs.10,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.