Nataka kununua shamba. Nitaanza wapi?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu uuzaji na ununuzi wa shamba.
  • Why is the process needed: Mfumo wa umiliki wa uhuru wa shamba ndio mfumo mkubwa zaidi ambao unampatia mwenye shamba umiliki kamili.

Faida ya mchakato huu ni kuwa, muuzaji wa shamba atapata malipo kutoka kwa mnunuzi, naye mnunuzi wa shamba atakuwa mmiliki aliyesajiliwa wa shamba hilo.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: If the process of the sale and transfer of a parcel of land is not finalized then the buyer will not obtain legal title to the land and the Vendor will not obtain the purchase price.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Fanya upekuzi wa shamba katika Ofisi ya serikali ya mashamba
  2. Tengeneza hati ya makubaliano
  3. Tengeneza hati ya uhamisho wa shamba
  4. Sajili hati ya vyeti katika ofisi ya serikali ya mashamba

Hati unazohitaji

  • Hati asili ya hatimiliki ya shamba
  • nakala za vitambulisho na vyeti vya kutoa ushuru vya muuzaji na mnunuzi
  • Picha moja ya rangi ya pasipoti ya mnunuzi na muuzaji


Muda

Siku Tisini

Gharama

Gharama ya Kulipia katika ofisi za Serikali:

  1. Gharama ya Ushuru inayohesabiwa kwa kiwango cha asilimia mbili au nne ya gharama ya shamba
  2. Gharama ya Upekuzi - Shilingi Mia Tano
  3. Gharama ya kuthamini shamba - Shilingi Elfu mbili
  4. Cheti cha viwango - Shilingi Elfu Kumi
  5. Cheti cha kodi - Shilingi Elfu moja
  6. Gharama ya kusajili vyeti na hati - Shilingi Mia Tano
  7. Gharama ya kupata idhini ya bodi ya kudhibiti mashamba - Shilingi Elfu Kumi

Disbursement fee: K.Shs.10,000/=


Template


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.