Jinsi ya kupata upya hati ya hatimiliki kama uliyo nayo hapo awali imepotea.
Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kupata upya hati ya hatimiliki kama uliyo nayo hapo awali imepotea.
Why is the process needed: Hati ya hatimiliki inathibitisha umiliki wa shamba.
Faida ya mchakato huu ni kuwa hati ya hatimiliki inayothibitisha umiliki wa shamba itakuwezesha kutumia hati kwa biashara na hata kupata mkopo kwa benki.
Risk/what happens if the process is not undertaken: If this process is not undertaken then there will be no evidence of ownership of property.
Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:
Hatua
Tengeneza Fomu za shamba zinazohitajika
Weka Tangazo kwenye Gazeti lenye mzunguko wa kitaifa
Peleka hati zinazohitajika katika ofisi ya serikali ya mashamba
Toa taarifa kwenye Kenya Gazette
Hati unazohitaji
nakala zilizothibitishwa za kitambulisho cha mwenye shamba
Dondoo la Polisi
Picha tatu za rangi za pasipoti za wenye shamba wanao weka kiapo
Matokeo rasmi ya Upekuzi wa shamba
Matokeo rasmi ya Upekuzi wa Kampuni
Hati ya maazimio ya Kampuni iliyothibitishwa na wakili
Muda
Takriban Siku Tisini
Gharama
Gharama ya kulipia katika Ofisi za serikali
Gharama ya Upekuzi - Shilingi Mia Tano
Gharama ya Upekuzi wa Kampuni - Shilingi Mia Sita na Hamsini