Nataka kununua gari/pikipiki. Nahitaji hati zipi?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu uuzaji na ununuzi wa gari/pikipiki
  • Why is the process needed: The sale or purchase of a motor vehicle is executed to transfer ownership of the motor vehicle from one person to another. This process is undertaken through the National Transport and Safety Authority’s online Platform.

Faida ya mchakato huu ni kuwa, muuzaji wa gari/pikipiki atapata malipo kutoka kwa mnunuzi, naye mnunuzi wa gari/pikipiki atakuwa mmiliki aliyesajiliwa wa gari/pikipiki hiyo.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of completing the sale and purchase of a motor vehicle has many repercussions including but not limited to there is lack of documentation to prove that one is indeed the legal owner of the motor vehicle/motorbike.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Fungua akaunti ya TIMS
  2. Tengeneza hati ya makubaliano
  3. Kubali umiliki wa gari/pikipiki kwenye akaunti yako ya TIMS

Hati unazohitaji

  • Kitabu cha kumbukumbu cha gari/pikipiki
  • nakala za vitambulisho na vyeti vya kutoa ushuru vya muuzaji na mnunuzi


Muda

Siku Thelathini

Gharama

Direct Costs: K.Shs.4,200/= plus Search Costs of K.Shs.550/= Disbursement fee: K.Shs.2,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.