Jinsi ya kupata upya kitabu cha kumbukumbu cha gari/pikipiki kama umepoteza
Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kupata upya kitabu cha kumbukumbu cha gari/pikipiki kama umepoteza.
Why is the process needed: Kitabu cha kumbukumbu cha gari/pikipiki kinathibitisha nambari ya usajili ya gari/pikipiki.
Kitabu hiki pia kinaonyesha mmiliki aliyesajiliwa wa gari/pikipiki.
Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of a Logbook means that you cannot prove that you legally own a particular motor vehicle/ motor bike.
Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:
Hatua
Fungua akaunti ya TIMS
Pata Dondoo la polisi
Tengeneza hati ya kiapo
Weka ombi la kupata kitabu cha kumbukumbu cha gari upya