Nimepoteza kitambulisho changu. Nitachukua hatua zipi ili kupata kitambulisho kingine?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kupata upya kitambulisho chako kama umekipoteza.
  • Why is the process needed: Whereas it might be hectic to obtain an Identity Card, once you obtain it you have valid proof of your Kenyan nationality.

Cheti cha kuzaliwa pia kinatumika na wanafunzu wanapojisajilisha kufanya mitihani. 

Cheti pia kinatumika unapotaka kupata kitambulisho.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of an Identity Card has many legal repercussions as this means that you have not adhered to the Kenyan Laws and thus you cannot prove that you are a Kenyan.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Temebelea Ofisi za Huduma Center zilizo karibu nawe au Ofisi ya afisa wa wilaya yako
  2. Jaza Fomu ya ombi lako la kupata kitambulisho kingine
  3. Pata kitambulisho upya

Hati unazohitaji

  • Dondoo la Polisi


Muda

Takriban Siku thelathini

Gharama

Gharama ya kulipia katika Ofisi za serikali: Takriban Shilingi Mia Tano

Disbursement fee: K.Shs.1,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.