Nitachukua hatua gani ili kupata cheti cha kifo?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu jinsi ya kupata cheti cha kifo.
  • Why is the process needed: Cheti cha Kifo kinaonyesha sababu ya kifo, eneo la kifo , wakati wa kifo miongoni mwa mambo mengine.

The benefit of the above process is that You/Applicants will require a death certificate to access services that were previously registered under your/their loved one's name.

Huduma zinazoweza kupatikana ni kama uhamishaji wa mali na kupata mafao ya kustaafu. 

A death certificate also clears your loved one from government systems such as the voters’ register and also, to deregister them as a taxpayer.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of a Death Certificate limits you from enjoying the above mentioned benefits.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Pata hati zinazohitajika
  2. Pata cheti cha kifo kupitia akaunti yako ya E-Citizen au katika ofisi ya serikali ya county yako.

Hati unazohitaji

  • Nakala ya kibali cha mazishi
  • kitambulisho cha marehemu kama alikuwa amefikisha mika kumi na minane.
  • Fomu ya maombi ya cheti cha kifo iliyojazwa kikamilifu.


Muda

Siku kumi

Gharama

Direct Costs: K.Shs.140/= Disbursement fee: K.Shs.500/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org


Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.