Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu jinsi ya kupata cheti cha ndoa.
Why is the process needed: Cheti cha ndoa kinathibitisha ndoa kati ya wati wawili.
Cheti cha ndoa ni muhimu kwa sababu:
It gives one the eligibility to inherit your spouse’s property and also jointly own properties without fear of being denied the right to share the matrimonial property when your spouse dies.
kinakuwezesha kupata faida za kiafya za mwenzi wako wa ndoa.
kinathibitisha kuwa nyinyi ni wenye ndoa .
Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of a Marriage Certificate means that one cannot prove that they are indeed married in Kenya. In addition, you are liited from accessing your spouse’s benefits.
Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:
Hatua
Jua unataka kufanya ndoa ya aina gani
Pata hati zinazohitajika
Pata cheti cha ndoa
Hati unazohitaji
Vitambulisho za wanaotaka kufunga ndoa
Vyeti vya kuzaliwa vya wanaotaka kufunga ndoa
Picha moja ya rangi ya pasipoti ya kila mmoja ya wanaotaka kufunga ndoa
Cheti cha kifo (ikiwa kinahitajika)
Amri ya talaka kabisa (ikiwa inahitajika)
Muda
Takriban Siku thelathini
Gharama
Gharama ya kulipia katika Ofisi za serikali
Ndoa ya Kiraia
Registrar’s Office – K.Shs.9,700/=
Garden Wedding – K.Shs.16,700/=
Ndoa ya Kikristo
Conducted in a licensed place of worship – Approximately K.Shs.14,200/=
Conducted in a garden - Approximately K.Shs.21,200/=