Nitafanya nini ili kutekeleza wosia

  • Introduction: Our platform focuses on the transmission of land from the deceased to his/her beneficiaries where the deceased left a will.
  • Risk/what happens if the process is not undertaken: The major risk in respect to the above process is that the court processes take so much time and money and hence delaying the process.
  • Why is the process needed: However, once the case is determined then the parties or rather the beneficiaries can legally access the deceased’s property and even own the property

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Tengeneza hati za wito
  2. Tengeneza hati za kiapo
  3. Faili hati mahakamani

Hati unazohitaji

  • Wosia asili
  • Hati ya hatimiliki ya mashamba na kitabu cha kumbukumbu cha gari/magari ya anayetaka kutengeneza wosia
  • Cheti cha Kifo


Muda

Takriban mwaka mmoja

Gharama

Direct Costs: Filing Fees to be determined by the relevant court Disbursement fee: K.Shs.10,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.