Jinsi ya kusajili biashara

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kuisajili biashara yako.

Jina la Biashara ni rahisi sana kusajili.

  • Why is the process needed: Faida ya mchakato huu ni kuwa utaweza kupata leseni ya biashara itakayo kuwezesha kupata biashara na kufanya biashara.

Ukiulinganisha mchakato huu na mchakato wa kusajili kampuni, mchakato wa kusajili biashara ni rahisi na hautatumia pesa nyingi.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of registering a business limits one from obtaining the relevant licenses and hence you cannot trade.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Fungu akaunti ya E-Citizen
  2. Sajili biashara yako

Hati unazohitaji

  • nakala ya kitambulisho cha mwenye biashara
  • nakala ya cheti cha kutoa ushuru cha mwenye biashara
  • picha moja ya pasipoti ya rangi ya mwenye biashara


Muda

Siku mbili

Gharama

Direct Cost: K.Shs.1,000/= Disbursement fee: K.Shs.1,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org


Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.