Nataka kuongeza mkurugenzi katika kampuni

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kutoa mkurugenzi katika biashara yako.
  • Why is the process needed: Faida ya mchakato huu ni kuwa utaweza kupata leseni ya biashara itakayo kuwezesha kupata biashara na kufanya biashara.

Ukiulinganisha mchakato huu na mchakato wa kusajili kampuni, mchakato wa kusajili biashara ni rahisi na hautatumia pesa nyingi.

  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Lack of restructuring a business limits one from obtaining the relevant licenses and hence you cannot trade.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Fungu akaunti ya E-Citizen
  2. Badilisha anwani ya biashara yako

Hati unazohitaji

  • nakala ya kitambulisho cha mkurugenzi unayeongeza katika biashara yako
  • nakala ya cheti cha kutoa ushuru cha mkurugenzi unayeongeza katika biashara
  • picha moja ya pasipoti ya rangi ya mkurugenzi unayeongeza katika biashara


Muda

Siku mbili

Gharama

Direct Cost: K.Shs.800/= Disbursement fee: K.Shs.2,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.