Nataka kukopa pesa kutoka kwa shirika/ kwa mtu binafsi. Nahitaji hati zipi?
Introduction: Tovuti yetu inalenga mahitaji yako kuhusu jinsi ya kukopa pesa kutoka kwa shirika/kwa mtu binafsi.
Why is the process needed: Kutengeneza hati ya makubaliano ya mkopo ni muhimu kwa sababu hati hii inaweza kutumika kortini iwapo kuna mambo yanayohitaji kutatuliwa.
Pia hati ya makubaliano ya mkopo inasaidia kuonyesha majukumu ya wanaohusika.
Risk/what happens if the process is not undertaken: Failure to have a Loan Agreement causes many issues which can only be determined by a court of Law.
Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:
Hatua
Pata maelezo zaidi kutoka kwa mkopeshaji na muazima
Jua mkopo ni wa pesa ngapi
Tengeneza hati ya makubaliano
Hati unazohitaji
nakala za vitambulisho vya mkopeshaji na muazima
nakala za vyeti vya kutoa ushuru za mpokopeshaji na muazima
Muda
Siku mbili
Gharama
Direct Cost (Stamp Duty Amount): K.Shs.240/=
Disbursement fee: K.Shs.2,000/=