Nataka kutumia mali yangu kudhamini mkopo. Nitahitaji hati zipi?

  • Introduction: Tovuti yetu inazingatia mahitaji yako kuhusu kutumia mali yako kama dhamini ya mkopo.
  • Why is the process needed: The benefits of the above is that upon the successful registration of the Security Rights over the Movable Asset, the Lender’s interests will be fully secured and safeguarded under the Law.
  • Risk/what happens if the process is not undertaken: Failure to have a Security Agreement means lack of documentation which causes many issues which can only be determined by a court of Law.

Miongozo ya mchakato huu ni kama ifuatavyo:


Hatua

  1. Tengeneza hati ya makubaliano
  2. Fungua Akaunti ya E-citizen
  3. Sajili mali yako kama dhamini ya mkopo

Hati unazohitaji

  • kitabu cha kumbukumbu cha gari


Muda

Siku mbili

Gharama

Direct Cost: K.Shs.1,000/= Disbursement fee: K.Shs.3,000/=


Templates


Kwa maelezo na habari zaidi kuhusu hatua hii, tungependekeza uwasiliane na wakili.
Bonyeza hapa kama ungependa kuunganishwa na wakili.

Jisajili kwanza

Kama ushawahi jisajili kwenye tovuti hii, basi bonyeza hapa ili uendelee. Log-in to continue


Contact us now

Contact us for more information

  • info@microjustice.org






Congratulations. Your message has been sent successfully.
Error, please retry. Your message has not been sent.